Mjane kuvaa saa ndani ya eda

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye katika eda kuvaa saa mkononi mwake?

Jibu: Hapana. Saa ni pambo miongoni mwa mapambo. Asivae. Aweke saa ukutani kwa ajili ya kutazama. Hahitaji kuvaa saa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (40)
  • Imechapishwa: 05/05/2023