Mirathi ya mtoto wa nje ya ndoa

Swali: Je, mtoto wa nje ya ndoa anarithi na anarithiwa?

Jibu: Mtoto wa nje ndoa ananasibishwa kwa mama yake. Anamrithi mama yake na mama yake anamrithi. Hana baba wala ndugu upande wa baba.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 30/11/2023