Kumpiga jiwe ndege kisha kumchinja

Swali: Mwindaji amempiga jiwe ndege na likampata, kisha akawahi kumchinja kabla ya kufa. Je, nyama hiyo ni halali?

Jibu: Ndio. Akiwahi kumchinja kabla ya kufa, ni halali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 30/11/2023