Hapa ndipo unamkata mnyama anayechinjwa kichwa chake

Swali: Ninapochinja njiwa wangu huwa ninawakata vichwa mara moja bila kungoja wafe kwanza. Je, uchinjaji wangu huu ni sahihi ?

Jibu: Inachukiza kufanya hivo. Ni jambo linalochukiza kukata kichwa chake kabla ya kufa. Wakati ameshakufa, ndio umkate kichwa chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 30/11/2023