Swali: Kuna Studio zilizo na sauti kuhusu mambo yanayopitika chini ya ardhi na wanasema kuwa ni sauti za watu wa Motoni na kwamba wanaadhibiwa. Je, hili ni sahihi?
Jibu: Huu ni mkanda umetoka kwa [´Abdul-Majiyd] az-Zindaaniy wa Yemen. Hayana uhakika wowote. Sio sahihi.
- Tarjama: Firqatunnajia.com
Swali: Kuna Studio zilizo na sauti kuhusu mambo yanayopitika chini ya ardhi na wanasema kuwa ni sauti za watu wa Motoni na kwamba wanaadhibiwa. Je, hili ni sahihi?
Jibu: Huu ni mkanda umetoka kwa [´Abdul-Majiyd] az-Zindaaniy wa Yemen. Hayana uhakika wowote. Sio sahihi.
Tarjama: Firqatunnajia.com
https://firqatunnajia.com/mikanda-yenye-sauti-za-watu-wa-motoni/