Swali: Kuna Studio zilizo na sauti kuhusu mambo yanayopitika chini ya ardhi na wanasema kuwa ni sauti za watu wa Motoni na kwamba wanaadhibiwa. Je, hili ni sahihi?

Jibu: Huu ni mkanda umetoka kwa [´Abdul-Majiyd] az-Zindaaniy wa Yemen. Hayana uhakika wowote. Sio sahihi.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com