Swali: Je, ni lazima kuosha mguu wa kuliani kwa mkono wa kuliani na mguu wa kushotoni mwa mkono wa kushotoni?
Jibu: Hakuna dalili kutoka katika Sunnah. Ni maoni tu [ya baadhi ya wanazuoni].
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 118
- Imechapishwa: 01/07/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)