Swali: Mgonjwa ambaye ameacha swalah kwa ujinga ailipe au inatosha kwake kutubia?

Jibu: Ikiwa mtu mfano wake anaweza kuwa mjinga haitokidhi. Lakini ikiwa mtu mfano wake hawezi; mtu aliyekulia katika viunga vya misitu ya Afrika au misitu iliyo mbali na Uislamu, anapaswa kufundishwa na kufanya Uislamu wake upya.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24133/حكم-المريض-الذي-ترك-الصلاة-جهلا
  • Imechapishwa: 06/09/2024