Swali: Ninapomtembelea mgonjwa, ni bora kumuadhimisha na kukumbusha juu ya Allaah au nimliwaze kwa maneno na kumsahilishia?
Jibu: Yote mawili. Mliwaze, mpe matumaini na kumwambia atapona na kwamba hali yake ni afadhali leo na kuwa Allaah Aliwaponya wagonjwa wengine na mfano wa hayo. Mpe matumaini. Kisha baada ya hapo mpe mawaidha na ukumbushe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)