Swali: Ni ipi hukumu ya kufungua mgahawa na kuupa jina kwamba ni mkunazi wa mwisho (سدرة المنتهى )?

Jibu: Ulinzi unaombwa kutoka kwa Allaah. Haijuzu kufanya hivo. Mkunazi wa mwisho? Upe jina lingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 02/07/2018