Swali: Inajuzu kuwapa kaka na dada zakaah?

Jibu: Ndio, hakuna neno wakiwa ni mafukara. Ndugu wana haki zaidi. Kuwapa swadaqah ndugu kuna faida mbili; swadaqah na kuuga udugu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 02/07/2018