Swali: Inajuzu kuswali kwenye mikeka/mazulia yaliyo na picha ya Ka´bah?

Jibu: Imechukizwa. Imechukizwa kuswali juu ya kitu au mbele ya kitu kilicho na picha. Kunamshughulisha mtu na swalah. Swali kwenye mkeka wa kawaida usiokuwa na picha wala maandishi. Kwa sababu kunamshughulisha mtu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 02/07/2018