Swali: Msafiri ambaye amefunga lakini akanuia kula kwa sababu safari ilimtia uzito. Lakini baada ya hapo akakamilisha swawm yake. Je, anazingatiwa ni mwenye kufuturu kwa nia pamoja na kwamba hakula na wala hakunywa?
Jibu: Akiazimia kukata nia anakuwa ni mwenye kufungua. Ama akiwa na mashaka; nile nisile; nina haja ya kula au sina; huyu ni mwenye mashaka na nia yake haikatiki.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Msafiri ambaye amefunga lakini akanuia kula kwa sababu safari ilimtia uzito. Lakini baada ya hapo akakamilisha swawm yake. Je, anazingatiwa ni mwenye kufuturu kwa nia pamoja na kwamba hakula na wala hakunywa?
Jibu: Akiazimia kukata nia anakuwa ni mwenye kufungua. Ama akiwa na mashaka; nile nisile; nina haja ya kula au sina; huyu ni mwenye mashaka na nia yake haikatiki.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/mfungaji-akiazimia-kukata-swawm-inavunjika/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)