Sifa tatu za Mahram wa mwanamke kusafiri naye

Swali: Ni yapi masharti ya Mahram kwa mwanamke katika safari na miongoni mwa masharti yake ni Mahram awe Muislamu?

Jibu: Ndio. Miongoni mwa masharti Mahram anatakiwa kuwa muislamu, aliyebaleghe na mwenye akili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020