Swali: Baadhi ya wanafunzi wanasema kuwa mfumo wa Salaf ni dhaifu na hauendani na wakati wa sasa na kwamba unaendana tu na watu wa jangwani. Unatunasihi nini?
Jibu: Kusema kwamba madhehebu ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na Salaf ni dhaifu na hauendani na wakati wa sasa ni kufuru ya wazi. Ina maana ya kwamba mfumo wa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hauendani na wakati wa sasa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 17/07/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)