Swali: Wakati tunapowalingania manaswara wanasema kuwa wao hawamshirikishi Allaah kwa kuwa…
Jibu: Hawamshirikishi Allaah ilihali wanasema al-Masiyh ni mtoto wa Allaah na Allaah ni utatu? Ikiwa hii sio shirki, shirki iko wapi? Hii ndio shirki kubwa na tunaomba kinga kwa Allaah. Kusema kwamba al-Masiyh ni mtoto wa Allaah, hii ndio shirki kubwa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-01061435-01.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket