Mfano wa ushirikina wa manaswara

Swali: Wakati tunapowalingania manaswara wanasema kuwa wao hawamshirikishi Allaah kwa kuwa…

Jibu: Hawamshirikishi Allaah ilihali wanasema al-Masiyh ni mtoto wa Allaah na Allaah ni utatu? Ikiwa hii sio shirki, shirki iko wapi? Hii ndio shirki kubwa na tunaomba kinga kwa Allaah. Kusema kwamba al-Masiyh ni mtoto wa Allaah, hii ndio shirki kubwa.

Check Also

Inajuzu kumkufurisha mtu sampuli hii?

Swali: Kuna mtu ambaye si msomi; hajui kuandika wala kusoma na anasema “Hakuna mungu wa …