Kuchezesha simu wakati wa Khutbah

Swali: Je, inajuzu kucheza na simu katikati ya Khutbah ya ijumaa?

Jibu: Hapana. Haijuzu kucheza na kitu; sawa ikiwa ni simu, Siwaak, kalamu au kitu kingine chochote. Haijuzu kucheza na huku imamu yuko anatoa Khutbah. Ni wajibu kukaa kimya.

Check Also

Kuongea kunakofaa wakati wa Khutbah siku ya ijumaa

Swali: Mtu ambaye anazungumza na imamu anakhutubu siku ya ijumaa kwa kumdhukuru Allaah au kumswalia …