Mdai amempa zakaah mdaiwa ambapo akamlipa pesa yake

Swali 334: Mtu anamdai mtu mwingine pesa na huyo anayedaiwa ni fakiri, basi yule mwenye kudai akampa zakaah mdaiwai ambapo akamlipa deni lake na akamrudishia yule mwenye kudai?

Jibu: Inafaa muda wa kuwa hawajakubaliana juu ya hilo kwa makusudi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 118
  • Imechapishwa: 31/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´