Swali 335: Vipi kuhusu mtu ambaye ameharakisha kutoa zakaah ya miaka miwili kisha mali yake ikaongezeka?
Jibu: Atatoa zakaah ya hiyo nyongeza.
Swali 336: Vipi ikiwa imepungua?
Jibu: Ni kheri kwake na nyongeza pia.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 118
- Imechapishwa: 31/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 335: Vipi kuhusu mtu ambaye ameharakisha kutoa zakaah ya miaka miwili kisha mali yake ikaongezeka?
Jibu: Atatoa zakaah ya hiyo nyongeza.
Swali 336: Vipi ikiwa imepungua?
Jibu: Ni kheri kwake na nyongeza pia.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 118
Imechapishwa: 31/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ametoa-zakaah-mapema-kisha-mali-yake-ikaongezeka/