Swali: Je, tawbah ya mchawi inakubaliwa akitubia?

Jibu: Tawbah yake inasihi baina yake yeye na Allaah. Lakini anatakiwa kuuliwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24554/هل-يقتل-الساحر-وان-تاب
  • Imechapishwa: 31/10/2024