Mchango juu ya vituo vya utafiti wa matibabu

Swali: Uingereza tuko na mataasisi ya kujitolea yanayoongozwa na makafiri. Hukusanya michango kwa ajili ya tafiti za kielimu katika matibabu. Je, inafaa kwa muislamu kuchangia kwa pesa kwa lengo hili?

Jibu: Inafaa. Ni mchango juu ya kitu kinachofaa. Aidha ni kitu chenye manufaa. Kwa hivyo hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 22/04/2021