Swali: Ambaye alikuwa na mazowea ya kufunga kwa mfano jumatatu na alkhamisi na ikaafikiana na nusu Sha´baan aendelee kufunga?
Jibu: Ndio, afunge masiku meupe, jumatatu na alkhamisi katika Sha´baan na miezi mingine. Hakuna neno juu yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 142
- Imechapishwa: 13/02/2023