Mazowea ya kufunga swawm zinazopendeza zikikutana na nusu Sha´baan

Swali: Ambaye alikuwa na mazowea ya kufunga kwa mfano jumatatu na alkhamisi na ikaafikiana na nusu Sha´baan aendelee kufunga?

Jibu: Ndio, afunge masiku meupe, jumatatu na alkhamisi katika Sha´baan na miezi mingine. Hakuna neno juu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 142
  • Imechapishwa: 13/02/2023