Wajinga wanaosema kuwa Allaah yuko kila mahali

Swali: Je, wanakufuru wale wanaosema kuwa Allaah yuko kila mahali?

Jibu: Ndio, ndio. Tunamuomba Allaah usalama.

Swali: Haijalishi kitu hata kama wanasema kuwa Allaah yuko kila mahali kutokana na ujinga?

Jibu: Ndio. Hata hivyo wazinduliwe na kufunzwa. Mjinga anatakiwa kujifunza. Anatakiwa kubainishiwa kuwa ´Aqiydah hiyo ni ukafiri na ujinga na kwamba analazimika kutubia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat ´alaal-Fatwaa al-Hamawiyyah al-Kubraa, uk. 126-127
  • Imechapishwa: 13/02/2023