Matunda ya miti inayomiminiwa maji najisi

Swali 140: Je, matunda ya miti inayomiminiwa kwa maji najisi yanaliwa?

Jibu: Ni jambo linahitaji kuangaliwa vyema. Wale wanaosema kwamba inasafika kwa kubadilika kimuundo wanasema kuwa inaliwa. Miongoni mwa wanazuoni hao ni Shaykh-ul-Islaam. Na wanakataza wale wanaosema kwamba kubadilika kimuundo hakuufanyi ukawa msafi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 66
  • Imechapishwa: 26/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´