Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hakika kila kitendo kinalipwa kutegemea na nia.”

Je, matendo ni katika kukamilika kwa imani au ni katika kusihi kwake?

Jibu: Hayasihi isipokuwa kwa nia. Matendo ya ´ibaadah hayasihi isipokuwa kwa nia:

“Hakika kila kitendo kinalipwa kutegemea na nia.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23455/هل-النية-شرط-لصحة-العمل-ام-لكمال-الايمان
  • Imechapishwa: 25/01/2024