Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Baadhi yenu wasiuze juu ya [bidhaa ya] wengine.”

Jibu: Kwa mfano umemuona mwenzako anauza kwa pesa 1000 ukamwambia mteja wake kwamba utamuuzia kwa pesa 900 na aje kununua kwako au kwamba utampa bidhaa bora zaidi kuliko ya huyo mwengine ili amwache. Huku ndio kuuza juu ya bidhaa ya ndugu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23454/معنى-حديث-لا-يبع-بعضكم-على-بيع-بعض
  • Imechapishwa: 25/01/2024