Swali: Je, ni katika kusitiri nikimuona mtu anafanya maovu nisimfedheheshe na nimnyamazie?
Jibu: Ikiwa ni katika mafungamano maalum ya kisiri amsitiri na amnasihi. Lakini ikiwa ni kati ya watu basi yeye mwenyewe ndiye ameifedhehi nafsi yake. Ama ikiwa umeingia kwake nyumbani kwake, maeneo maalum na ukamuona unapaswa kumsitiri na kumshauri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23449/متى-يشرع-الستر-او-الكشف-عمن-اتى-منكرا
- Imechapishwa: 25/01/2024
Swali: Je, ni katika kusitiri nikimuona mtu anafanya maovu nisimfedheheshe na nimnyamazie?
Jibu: Ikiwa ni katika mafungamano maalum ya kisiri amsitiri na amnasihi. Lakini ikiwa ni kati ya watu basi yeye mwenyewe ndiye ameifedhehi nafsi yake. Ama ikiwa umeingia kwake nyumbani kwake, maeneo maalum na ukamuona unapaswa kumsitiri na kumshauri.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23449/متى-يشرع-الستر-او-الكشف-عمن-اتى-منكرا
Imechapishwa: 25/01/2024
https://firqatunnajia.com/ni-lini-unapaswa-kumsitiri-mtenda-dhambi/