Mtu akiwa katika neema siku zote hilo linaweza kumfanya kukosa kumshukuru Allaah (´Azza wa Jall) na kutomuwaza hata. Anapopatwa na matatizo anakuwa ni mwenye kukumbuka na kurudi kwa Mola wake (Subhaanahu wa Ta´ala). Hiyo inakuwa ni faida kubwa kwake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (01/231)
- Imechapishwa: 05/03/2023