Swali: Mtoto mwenye kunyonya akitapika kwenye nguo ni najisi ambayo ni wajibu kuiosha? Je, matapishi ya mtu mkubwa ni najisi?

Jibu: Ndio, matapishi ni najisi sawa ya mtoto na ya mkubwa. Kwa sababu matapishi yanatoka kwenye chakula. Ni najisi. Kunaoshwa pale ambapo yameshika, sawa yawe ni matapishi ya mtoto au ya mkubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
  • Imechapishwa: 13/07/2020