Maswahabah wa kike walikuwa wakiwahudumia waume zao

Swali: Je, ni katika matangamano mazuri ya lazima mwanamke kumpikia chakula mume wake?

Jibu: Hivo ndivo walivofanya Maswahabah wa kike. Maswahabah wa kike walikuwa wakiwahudumia waume zao, kama alivosema Ibn-ul-Qayyim. Hivo ndivo walikuwa wakiishi Maswahabah wa kike (Radhiya Allaahu ´anhum).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 28/07/2023