Mke anataka mume ampe kiwango fulani cha pesa

Swali: Mwanamke anamuwekea sharti mume kumpa kiwango fulani cha pesa kila mwezi mbali na matumizi, je, mume analazimika kukubali hilo?

Jibu: Hapana. Ikiwa anamuhudumia basi hakuna kingine kinachomlazimu zaidi ya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 28/07/2023