Je, kuna tofauti kati ya kufuta ndoa na talaka?

Swali: Je, kuna tofauti kati ya kufuta ndoa na talaka?

Jibu: Hakimu ndiye ambaye ana haki ya kufuta ndoa na mume ndiye anatoa talaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (37)
  • Imechapishwa: 28/07/2023