Maswahabah kumi waliobashiriwa Pepo

Swali: Ni kina nani waliobashiriwa kuingia Peponi?

Jibu: Waliobashiriwa kuingia Peponi ni wengi. Miongoni mwa Maswahabah ni wale kumi waliotangulia; Abu Bakr, ´Umar, ´Uthmaan, ´Aliy, Twalhah, az-Zubayr, Sa´d bin Abiy Waqqaas, Abu ´Ubaydah bin Jarraah, Sa´iyd bin Zayd na ´Abdur-Rahmaan bin ´Awf.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/288)
  • Imechapishwa: 23/08/2020