Dini ya mayahudi na manaswara haitowanufaisha kitu

Swali: Ni ipi hukumu ya Uislamu juu ya mayahudi na manaswara miongoni mwa wale waliofikiwa na ujumbe wa Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na wakaujua lakini hawakumfuata na badala yake wakafuata dini zao?

Jibu: Wanahesabika ni makafiri na wanataamiliwa matangamano ya makafiri katika hukumu za duniani na Aakhirah. Haitowafaa kitu kushikamana na dini yao ikiwa wanakanusha yale aliyokuja nayo Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/298)
  • Imechapishwa: 23/08/2020