Swali: Ni kina nani waliobashiriwa kuingia Peponi?
Jibu: Waliobashiriwa kuingia Peponi ni wengi. Miongoni mwa Maswahabah ni wale kumi waliotangulia; Abu Bakr, ´Umar, ´Uthmaan, ´Aliy, Twalhah, az-Zubayr, Sa´d bin Abiy Waqqaas, Abu ´Ubaydah bin Jarraah, Sa´iyd bin Zayd na ´Abdur-Rahmaan bin ´Awf.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (3/288)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)