Swali: Ibn-ul-Qayyim anaona kuwa inafaa kupokea zawadi ikiwa mashindano ni ya Qur-aan na Sunnah. Je, kunaingia pia mashindano ya utamaduni na adabu?
Jibu: Hapana. Hayakuwekwa katika Shari´ah. Adabu, mashairi na mfano wake ni mambo yameruhusiwa, lakini haifai kupokea tuzo katika vitu kama hivi. Tuzo zinachukuliwa katika vitu vilivyowekwa katika Shari´ah, kama vile Fiqh, Qur-aan na Sunnah. Sarufi na kiarabu pia ni vitu vizuri, kwa sababu vinamsaidia mtu kuelewa Qur-aan na Sunnah. Kwa vile sarufi na kiarabu vinamsaidia mtu kuielewa Qur-aan na Sunnah, inafaa kuvichukulia tuzo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
- Imechapishwa: 12/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)