Swali: Kuna watu wamefanya leo picha kuwa ni miongoni mwa njia za Da´wah za kisasa na miongoni mwa njia za kueneza kheri…
Jibu: Ina maana maasi yamekuwa ni njia za kufanyia Da´wah? Je, picha ni ´ibaadah au ni maasi? Ni maasi. Vipi basi tufanye maasi kuwa ni miongoni mwa njia za Da´wah? Lililo la wajibu ni sisi kulingania watu waache picha kwa kuwa ni maovu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)