Swali: Ni ipi hukumu wanawake kuyatembelea makaburi?
Jibu: Kikosi cha wanazuoni wengi wanaona kuwa haifai kwa wanawake kuyatembelea makaburi. Umm ´Atwiyyah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Tumekatazwa kufuata jeneza na wala hatukutiliwa mkazo.”
Imekuja katika Hadiyth nyingine:
“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi, wenye kujenga misikiti juu yake na wenye kuyaweka mataa.”
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-زيارة-النساء-للقبور
- Imechapishwa: 12/06/2022
Swali: Ni ipi hukumu wanawake kuyatembelea makaburi?
Jibu: Kikosi cha wanazuoni wengi wanaona kuwa haifai kwa wanawake kuyatembelea makaburi. Umm ´Atwiyyah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:
“Tumekatazwa kufuata jeneza na wala hatukutiliwa mkazo.”
Imekuja katika Hadiyth nyingine:
“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi, wenye kujenga misikiti juu yake na wenye kuyaweka mataa.”
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/حكم-زيارة-النساء-للقبور
Imechapishwa: 12/06/2022
https://firqatunnajia.com/maoni-ya-wanazuoni-wengi-juu-ya-mwanamke-kuyatembelea-makaburi/