Swali: Je, imethibiti kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifunga siku kumi za Dhul-Hijjah?
Jibu: Haikuthibiti. Imepokelewa kutoka kwake kwa cheni ya wapokezi ilio na kasoro. ´Aaishah amesema kwamba hakuwa akizifunga na imepokelewa kutoka kwa Hafaswah kwamba alikuwa anayafunga. Lakini katika cheni ya wapokezi wake kuna kasoro. Lakini maoni ya sawa ni kwamba ni Sunnah kuyafunga. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna masiku yoyote matendo mema ndani yake yanapendwa zaidi na Allaah kama masiku haya kumi.”
Ameipokea al-Bukhaariy katika “as-Swahiyh” yake. Kadhalika ameipokea kwa cheni ya wapokezi ilio nzuri:
“Hakuna masiku yoyote ambayo ni matukufu zaidi mbele ya Allaah na ambayo yanapendwa zaidi Kwake kama masiku haya kumi. Hivyo kithirisheni ndani yake kusema “Laa ilaaha illa Allaah”, “Alhamdulillaah” na “Allaahu Akbar”.”
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) anasema kwamba hatambui kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anayafunga. Vilevile imepokelewa kutoka kwa Hafswah kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiyafunga. Lakini katika cheni ya wapokezi wake kuna baadhi ya dosari.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/6684/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%B5%D9%8A%D8%A7%D9%85-%D8%B9%D8%B4%D8%B1-%D8%B0%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D8%AC%D8%A9
- Imechapishwa: 14/08/2018
Swali: Je, imethibiti kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifunga siku kumi za Dhul-Hijjah?
Jibu: Haikuthibiti. Imepokelewa kutoka kwake kwa cheni ya wapokezi ilio na kasoro. ´Aaishah amesema kwamba hakuwa akizifunga na imepokelewa kutoka kwa Hafaswah kwamba alikuwa anayafunga. Lakini katika cheni ya wapokezi wake kuna kasoro. Lakini maoni ya sawa ni kwamba ni Sunnah kuyafunga. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Hakuna masiku yoyote matendo mema ndani yake yanapendwa zaidi na Allaah kama masiku haya kumi.”
Ameipokea al-Bukhaariy katika “as-Swahiyh” yake. Kadhalika ameipokea kwa cheni ya wapokezi ilio nzuri:
“Hakuna masiku yoyote ambayo ni matukufu zaidi mbele ya Allaah na ambayo yanapendwa zaidi Kwake kama masiku haya kumi. Hivyo kithirisheni ndani yake kusema “Laa ilaaha illa Allaah”, “Alhamdulillaah” na “Allaahu Akbar”.”
´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) anasema kwamba hatambui kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anayafunga. Vilevile imepokelewa kutoka kwa Hafswah kwamba (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiyafunga. Lakini katika cheni ya wapokezi wake kuna baadhi ya dosari.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/6684/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%B5%D9%8A%D8%A7%D9%85-%D8%B9%D8%B4%D8%B1-%D8%B0%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D8%AC%D8%A9
Imechapishwa: 14/08/2018
https://firqatunnajia.com/maoni-ya-sawan-ni-kwamba-imesuniwa-kufunga-siku-kumi-za-dhul-hijjah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)