Swali: Manii yanayotoka kwenye tupu baada kuoga yanaathiri twahara?

Jibu: Yanatengua wudhuu´[1]. Kila chenye kutoka kwenye tupu ya mbele au ya nyuma kinatengua wudhuu´.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/majimaji-yanayomtoka-mwanamke-baada-ya-kuoga-janaba/ 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018