Swali: Baadhi ya vijana wana nywele ndefu na wanarefusha kwa nyuma kama wanavyofanya wanawake. Je, inajuzu?

Jibu: Hapana. Haijuzu kujifananisha na wanawake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewalaani wanaume wenye kujifananisha na wanawake na wanawake wenye kujifananisha na wanaume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018