Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali bila ya idhini ya imamu rasmi ikiwa hakuchelewa?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuanza kuswali msikitini ikiwa imamu rasmi hakutoa idhini yake au kuomba udhuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018