Swali: Ni ipi hukumu ya kuanzisha kundi la Kiislamu na ikawa kila kundi lina kiongozi katika kila nchi?

Jibu: Haijuzu. Huku ni kuleta mfarakano, jambo ambalo tumekatazwa:

وَاعْتَصِمُوا بِحَبْلِ اللَّـهِ جَمِيعًا وَلَا تَفَرَّقُوا

“Na shikamaneni kwa kamba ya Allaah nyote pamoja wala msifarikiane.” (03:103)

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 07/07/2018