Swali: Vipi kuhusu manii yanayomtoka mtu bila ya matamanio?

Jibu: Yakimtoka kutokana na maradhi hukumu yake ni sawa na mkojo… Hukumu yake ni sawa na takaka nyingine zote zinazomtoka mtu ambazo zinamuwajibishia kutawadha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24700/ما-حكم-المني-اذا-خرج-من-غير-شهوة
  • Imechapishwa: 28/11/2024