Swali: Je, maneno ya Ahl-ul-Bid´ah ambayo hayakufungana yanafasiriwa kwa yale maneno yao ambayo yamefungana?
Jibu: Maandiko ya Qur-aan na Sunnah ndio ambayo yanafasiriwa ambayo hayakufungana kwa yale ambayo yamefungana. Ambayo hayakufungana yanafasiriwa kwa ambayo yamefungana inapokuja katika maneno ya Allaah na maneno ya Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=127024
- Imechapishwa: 12/11/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)