Swali: Hakika ya Irjaa´ inapokuja katika imani.

Jibu: Baadhi ya wanazuoni wanasema kuwa matendo hayaingii katika imani na kwamba imani ni maneno peke yake. Maneno pamoja na utambuzi. Haya ni maoni dhaifu wanayoitakidi Murji-ah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23521/ما-حقيقة-الارجاء-في-الايمان
  • Imechapishwa: 08/02/2024