Kutoyaingiza matendo katika imani ni tofauti ya kimatamshi peke yake?

Swali: Wanaosema kwamba kutoyaingiza matendo katika imani ni katika aina ya tofauti za kimatamshi tu…

Jibu: Hapana ni kosa. Sio tofauti ya kimatamshi. Ni tofauti ya kihakika.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23519/ما-الحق-في-ادخال-العمل-في-مسمى-الايمان
  • Imechapishwa: 08/02/2024