Swali: Baba yangu ataoa mwanamke na amenitaka niwepo. Kuwepo kwangu kutamkasirisha mama yangu na kumfanya ni mwenye huzuni na kulia nikihudhuria. Unaninasihi nini?
Jibu: Mkinaishe baba yako na umwambie kuwa una udhuru mama yako atakukasirikia. Mashahidi ni wengi. Achague mashahidi wengine mbali na wewe.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-6.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Baba yangu ataoa mwanamke na amenitaka niwepo. Kuwepo kwangu kutamkasirisha mama yangu na kumfanya ni mwenye huzuni na kulia nikihudhuria. Unaninasihi nini?
Jibu: Mkinaishe baba yako na umwambie kuwa una udhuru mama yako atakukasirikia. Mashahidi ni wengi. Achague mashahidi wengine mbali na wewe.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-4-6.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/mama-hataki-nende-kwenye-harusi-ambayo-baba-anaongeza-mke-%e2%80%82%e2%80%82%e2%80%82/